King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kikwete katuletea Udini sasa Zitto Kabwe naye ameamuwa kuasisi ukabila!! haya tuendelee tu.
wakwere nyimbo nayo lini?
Wamara tunaandaa Songi letu, kiitikio ataimba Isha Mashauzi.
Chezea Mara weye!
wakati myie mkiongelea ukabila na udini kuzidi kuwatafuna, wachaga wao wanawaza pesa na biashara mpya. hakunaga akina saida kaloli uchagani wala wanaofokafoka ila kunawafugaji na nguli wa biashara..go go chaga pipo
Temba, akina joh makina, gnacko, lordeyes, akina chindo akina machalii, wao kabila gani ebu tuambie
Kikwete katuletea Udini sasa Zitto Kabwe naye ameamuwa kuasisi ukabila!! haya tuendelee tu.
Sina muda wa kurumbana na mvaa vipedo a.k.a Wahabi. subilini matokeo ya form four muandamane maana mwaka huu ndio mtafeli kweli kweli.Na slaa naye kahamishia shughuli za kanisa chadema
Kikwete katuletea Udini sasa Zitto Kabwe naye ameamuwa kuasisi ukabila!! haya tuendelee tu.
Sina muda wa kurumbana na mvaa vipedo a.k.a Wahabi. subilini matokeo ya form four muandamane maana mwaka huu ndio mtafeli kweli kweli.