Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Uchaguzi wa CHADEMA nafasi ya Uenyekiti umezidi kupamba moto.
Haya ni maneno ya Afande Sele ambaye ni mfuatiliaji mkubwa wa siasa za Bongo.
Mbowe ajitafakari.
Hiki ndicho alichoandika Afande Sele kupitia ukurasa wake wa Instagram:
Baraza lote la vijana limeshikiliwa na watu wanaomuunga mkono Lissu… na uongozi wote wa BAVICHA kuanzia Mwenyekiti, Makamu M/Kiti na Katibu wote wanamuunga mkono Lissu. Kwenye wajumbe 21 wa BAVICHA, 20 wote wanamuunga mkono Lissu na mmoja tu ndie anatokea kambi ya Mbowe” Lyenda..
Sina hakika kama hivi ndivyo ilivyo,ingawa matokeo ya uchaguzi wa Bavicha yanaweza kuwa sehemu ya kuthibitisha ukweli wa maneno haya
Na kama huu ndio ukweli basi maana yake Mbowe hatoshinda ,na hata kama akishinda itakua kama kashindwa na akishindwa itakua kama kashindwa kila kitu,yani uwenyekiti na heshima yakey yote aliyojijengea kwa muda wote wa uongozi wake ndani ya Chadema na upinzani kwa ujumla
Hii ni kwasababu huhitaji hata kuwa na akili ya mtoto mdogo kujua kuwa ushindi wa Mbowe ndio utakua mwisho wa Chadema na mwanzo wa upinzani mpya kutoka ndani na nje ya upinzani wa sasa uliopoteza mvuto kwasababu ya viongozi wake waliopoteza Imani ya wananchi kutokana na matendo yao🤧