Wengi ambao wametangulia mbele ya haki walidai chadema itakufa, wamepita na kipoWakuu,
Uchaguzi wa CHADEMA nafasi ya Uenyekiti umezidi kupamba moto.
Haya ni maneno ya Afande Sele ambaye ni mfuatiliaji mkubwa wa siasa za Bongo.
Mbowe ajitafakari.
Hiki ndicho alichoandika Afande Sele kupitia ukurasa wake wa Instagram:
Baraza lote la vijana limeshikiliwa na watu wanaomuunga mkono Lissuβ¦ na uongozi wote wa BAVICHA kuanzia Mwenyekiti, Makamu M/Kiti na Katibu wote wanamuunga mkono Lissu. Kwenye wajumbe 21 wa BAVICHA, 20 wote wanamuunga mkono Lissu na mmoja tu ndie anatokea kambi ya Mboweβ Lyenda..
Sina hakika kama hivi ndivyo ilivyo,ingawa matokeo ya uchaguzi wa Bavicha yanaweza kuwa sehemu ya kuthibitisha ukweli wa maneno haya
Na kama huu ndio ukweli basi maana yake Mbowe hatoshinda ,na hata kama akishinda itakua kama kashindwa na akishindwa itakua kama kashindwa kila kitu,yani uwenyekiti na heshima yakey yote aliyojijengea kwa muda wote wa uongozi wake ndani ya Chadema na upinzani kwa ujumla
Hii ni kwasababu huhitaji hata kuwa na akili ya mtoto mdogo kujua kuwa ushindi wa Mbowe ndio utakua mwisho wa Chadema na mwanzo wa upinzani mpya kutoka ndani na nje ya upinzani wa sasa uliopoteza mvuto kwasababu ya viongozi wake waliopoteza Imani ya wananchi kutokana na matendo yaoπ€§
Wengi ambao wametangulia mbele ya haki walidai chadema itakufa, wamepita na kipo
Siasa ni ideology, ideology ipo hata vizazi vipite
Ulimsikia Dudu Baya?Duh mpaka afande sele
Chadema haikufa Kwa sababu makamanda hawakujua Kwamba hiki chama ni CCM B na kilianzishwa Kwa intelligence ya Nyerere Kwa kuwatumia kiujanja Tuntemeke Sanga na Mtei ππWengi ambao wametangulia mbele ya haki walidai chadema itakufa, wamepita na kipo
Siasa ni ideology, ideology ipo hata vizazi vipite
Punguza story za vijiweni, eti intelligence ya nyerere. Kaka hizo chai peleka uswahiliniChadema haikufa Kwa sababu makamanda hawakujua Kwamba hiki chama ni CCM B na kilianzishwa Kwa intelligence ya Nyerere Kwa kuwatumia kiujanja Tuntemeke Sanga na Mtei ππ
Hii kachero huwezi kuelewa labda akutafsirie mbobezi Wenje πππ
Itakuwa ni Uwendawazimu na ukichaa mkubwa sana kwa mtu mwenye akili Timamu na anayejitambua kumsikiliza mtu kama huyu ambaye arishusha suruali yake na kubakia na nguo ya ndani tu akiwa jukwaani. Ndio maana nilisema kuwa lissu anaungwa mkono na watu wa Hovyo hovyo,wababaishaji na wahuni wahuni tu.
Mimi ni akili kubwa na kichwa kwelikweliwewe una akili gani sasa?
Wewe unadhani Lisu angelipwa Hela zake na Samia wakati Ule angempinga Mbowe Leo?Punguza story za vijiweni, eti intelligence ya nyerere. Kaka hizo chai peleka uswahilini
Pole sana, kwa namna ccm na mamlaka walivyopania kuifuta, ingeshafutwa waaaaay back
Lissu anapigwa vita sana kwanini? Yaani hafi ccm wanampiga vita? Lakini hao hao wana support mbowe?
Kweli?