Pini limesimama, nalikubali!Song linaitwa dini tumeletewa, litafute ulisikilize
Hata wangeanza kusikiliza 2005 bado wasingemponda....labda wale kizazi cha Young Dee!Mnaomponda Afande ni wote mlionza kusikiliza music kuanzia 2005 to date....
Mnaomponda Afande ni wote mlionza kusikiliza music kuanzia 2005 to date....
Kaa kimya!hv mziki wake wa mwisho alitoa lini, mie naona amefulia japo heshima anatembea nayo
Sele ni number,you bitch haters.Hajapoteza nyimbo yoyote.Ukisikiliza zote ziko sawa.