Afande Sele: Watanzania tuache unafiki, bhangi ihalalishwe (Video)

Herb is a plant!!
 
Hivi mkimuangalia huyu jamaa, anaonekana mzima kweli kichwani?
Sikiliza logic yake kwanza halafu njoo na hoja za kumpinga otherwise tuta-doubt akili zako wewe mwenyewe. Ni kweli tuna unafiki, na kuna tafiti zimethibitisha kwamba tunaongoza kwa unafiki.
 
Sikiliza logic yake kwanza halafu njoo na hoja za kumpinga otherwise tuta-doubt akili zako wewe mwenyewe. Ni kweli tuna unafiki, na kuna tafiti zimethibitisha kwamba tunaongoza kwa unafiki.
WANAONGOZA WAO KWA UNAFIKI, MIMI NA WEWE TUWE MSTARI WA MBELE KUWAREKEBISHA.
 
Kaongea point kabisa ingawa Ana shida zake pia
 
Wapo wengi ambao hawavuti bangi na hawatumii kilevi chochote,lakini record za matukio yao ya kihalifu ni za kutisha sana.

Ukitaka kuliamini hilo,Fanya utafiti mdogo wa kutafuta historia za wafungwa wanaosubiri kunyongwa au wale wanaotumikia vifungo vya maisha.
 
Hivi mkimuangalia huyu jamaa, anaonekana mzima kweli kichwani?
Atakuwaje mzima wakati alimdhalilisha hata marehemu mama watoto wake kuwa malaya na akaachana naye na alipofariki huyo mama akatua mzima mzima eti alikuwa ni mkewe naye anahaki ya maamuzi katika harakati za mazishi na walimfukuza.
 
Hizi ni negative effects, vipi kuhusu positive effects??
 
Atakuwaje mzima wakati alimdhalilisha hata marehemu mama watoto wake kuwa malaya na akaachana naye na alipofariki huyo mama akatua mzima mzima eti alikuwa ni mkewe naye anahaki ya maamuzi katika harakati za mazishi na walimfukuza.

Sasa naelewa kwa nini bangi inamfanya aabudu nzi na jua.
 
Sikiliza logic yake kwanza halafu njoo na hoja za kumpinga otherwise tuta-doubt akili zako wewe mwenyewe. Ni kweli tuna unafiki, na kuna tafiti zimethibitisha kwamba tunaongoza kwa unafiki.

Baada ya kusikiliza na kutafakari logic yake, wewe unaabudu nini sasa?
 
NI MZIMA SANA TENA SANA

Ndiyo maana anavua nguo stejini na kushika dushelele kuona kama bado lipo au limechukuliwa kimazingira. Si unajuwa bangi inavyochanganya watu akili. Maana ukivuta tu, akili inatoweka kwa muda na kubaki zombie fulani asiye na mwelekeo.
 
Me anae pinga matumizi ya bange namuona hajui alitendalo/ kaathiriwa na propaganda za wamagharibi.

Mtu ameenda shule lkn anashindwa kufanya utafiti mdogo tu ili kujiridhisha na kile akipingacho.

Kwanza ieleweke hakuna kitu kisicho na madhara.

Hata hayo maji unayo kunywa yana madhara.

Wengi wanao pinga bangi ni wanywaji wa pombe (yoyote ile)

Wengine ni watumiaji wa tumbaku/sigara.

Wengine ni wazinzi wazuri tu.

Sasa tufanye mchanganuo wa hivi vilevi vyote nilivyo vitaja kisha tupate suluhisho ni kipi kina madhara zaidi ya kingine?

Tuanzie hapo.
 
Hivi mnajua mpaka mateja/ walaunga wanaichukia bangi?

Hoja yao wanadai inanuka hivyo huwezi kuvuta mbele ya kadamnasi ya watu.

Huwa najiuliza kwa nini huu mjani umepata sudi mbaya?

Me nahisi huu mjani kuna kitu cha siri ndani yake ambacho wajanja hawakuta wote tukistukie.
 
Hivi mkimuangalia huyu jamaa, anaonekana mzima kweli kichwani?
MWANAUME MWAMINIFU:
hii ni kwa wanaume... ila wanawake mnaweza kusoma na Kujifunza kuwa wanaume ni waaminifu..
* Jamaa mmoja alienda kukata mkaa polini.. wakati anakata mkaa Panga lake likadondoka mtoni...akaanza kulalamika sana...
malaika akatokea na kumuuliza kwanini analia..
Jamaa akamjibu nimedondosha panga langu mtoni na ndiyo natumia kuendesha maisha yangu..
Malaika akazama mtoni akatoa panga la Dhahabu akamuuliza ndiyo hili??
Akajibu Hapana...
Malaika akazama tena akatoa panga la shaba, akamuuliza ndiyo hili??
Jamaa akajibu HAPANA.
malaika akazama tena akaibuka na panga la bati, akamuuliza ndiyo hili..
jamaa akajibu NDIYO..
Malaika akapenda uaminifu wake na kumpa mapanga yote matatu aende nayo..
JAMAA akafurahi sana..
**Siku nyingine Jamaa alikuwa anatembe na mke wake njiani, ghafla Mke wake akadondoka mtoni. jamaa akaanza kulia.....
Malaika akatokea tena na kumuuliza mbona unalia.
Jamaa akamjibu, mke wangu kadondoka mtoni..
Malaika akazama mtoni akaibuka na WEMA SEPETU.. Akamuuliza huyu ndiyo huyu.
Jamaa akajibu, NDIYO..
Malaika akakasirika na kumwambia Kwanini umenidanganya..
Jamaa akamjibu..nimesema ndiyo sababu najua ningesema HAPANA Ungezama ungemtoa AUNTI EZEKIEL ... ningesema HAPANA ungezama na kumtoa mke wangu alafu ningezema NDIYO ungenipa wote Watatu niondoke nao...... Sasa Masikini sina uwezo wa kuhudumia wote hao.... ndiyo maana nikasema ndiyo Kwa Wema sepetu.
SOMO LA KUJIFUNZA..
Wanaume huwa hatusemi uongo bila sababu.... na inakuwa kwa sababu maalum na kwa faida ya wote....
wanaume wote ni WAAMINIFU........
Mtunze na kumwamini mwanaume wako....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…