Afande Sele weka msimamo ubunge utaupata

Afande Sele weka msimamo ubunge utaupata

Gabriel senior

New Member
Joined
May 20, 2019
Posts
3
Reaction score
1
Ni moja ya msanii mzuri wa hip hop bongo pia mziki wake unaheshimika lakini toka ameacha kuimba na kuingia kwenye siasa huyu kinachomfelisha ni kutokuwa na msimamo. Mara CHADEMA,ACT na sasa hivi yupo CCM.

Kama unataka upate ubunge tulia ndani ya CHAMA kimoja kama walivofanya wakongwe wenzako kama Mh. SUGU na Profesor Jay la sivyo ubunge utausikia tu.

Naamini ukitulia wanamoro wanavokukubali watakupa jimbo baba Tunda!!

FB_IMG_15586169875956508.jpeg
FB_IMG_15586169693411397.jpeg
FB_IMG_15586169491319309.jpeg
 
Mimi ni msanii
mimi ni msanii
Kioo cha jamiii
Kioo cha jamii
 
Morogoro mjin mbona anakubalika tu jamaa tatizo aliyumba uchaguz uliopita Mara chadema Mara ACT
 
Uchaguzi uliopita alipata Kura buku, wakati mshindi alikuwa na zaidi ya elfu 60.Yani hata masela wa Moro hawamkubali. Bora aendelee kulima bangi tu.
 
Yani unataka chadema iwe na watu kama huyu alafu agombee ubunge.huyu huyu afande sele anaevua nguo kwenye jukwaa,

Alafu apate ubunge anunuliwe muanze kulaumiana,

Tafteni watu makini bwana msizoezoe watu kwa jazba.
 
Back
Top Bottom