Afande Sele:wengine watabaki na roho za korosho,wengine watabaki na hela za korosho

Afande Sele:wengine watabaki na roho za korosho,wengine watabaki na hela za korosho

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Katika kutoa maoni ya kinachoendelea,mfalme wa rhymes naye katoa maoni yake
ya
IMG_20181124_222529_928.JPG
 
Chakubanga ametoka mafichon anajikung'uta kama mbwa aliyenyeshewa mvua alikua wap huyu ?? Mbona siku hiz hasikiki tena?? Au anatafuta kick kama konki nae apewe shavu
Waambie mzee babaaa kitumbua kimeingia mchanga leo
Wamepigwa pini ya hatar sana huku ni mpera mpera mpaka kieleweke
 
Mimi ndiyo maana huwa nayapenda sana maisha ya kuelewana na watu wanaonizunguka,yaani adui yangu nitamtafuta nijue kwanini amefikia kuniona mimi adui yake na nitajitahidi kumrudisha kundini akikataa ni yeye ila at least nimeonyesha juhudi kwamba mie siyo m'baya kwake.

Ogopa sana pale unapodondoka then ulikuwa na kichaka cha watu uliowatenda enzi uko juu nao wakikuombea siku uwe chini,kila watakaloongea utakuwa unajistukia na kuweweseka,ila huyu jamaa Afande siku hizi kama akili zimemrudia maana jana nilimsikiliza kwenye clip moja ilitumwa humu aisee jamaa anaongea kitu ukakielewa vizuri sana.
 
Chefuuuuu

Mziki chali
Kaja Act chali
Karudi huko pia chali

Maskini afande selengoView attachment 945316
Radio yenu ya Mapusti wakimsikiliza wanamuelewa,hawa jamaa wamewanyanyasa sana hawa wakongwe enzi zao walipokuwa juu.

Hivi unaweza kuya-feel maumivu anayoyasikia mtu aliyekaa macho wiki akiandika mashairi kisha akaingia studio kwa gharama then akapeleka kazi yake redioni then akakutana na kilaza mmoja amekaa kwenye kiti cha kuzunguka asiyejua A wala C kwenye mziki unfortunately wakapishana tu kauli kidogo then huyu kilaza akaamua kwamba “bwana kwa sababu umenikataza nisizunguke na kiti changu hiki basi wimbo wako hautokaa upigwe ktk radio hii asilani abadan” na kweli ikawa?

Wasanii aina ya Afande Sele wameonewa sana acha sasa wateme nyongo zilizowajaa!!!
 
Back
Top Bottom