Mimi ndiyo maana huwa nayapenda sana maisha ya kuelewana na watu wanaonizunguka,yaani adui yangu nitamtafuta nijue kwanini amefikia kuniona mimi adui yake na nitajitahidi kumrudisha kundini akikataa ni yeye ila at least nimeonyesha juhudi kwamba mie siyo m'baya kwake.
Ogopa sana pale unapodondoka then ulikuwa na kichaka cha watu uliowatenda enzi uko juu nao wakikuombea siku uwe chini,kila watakaloongea utakuwa unajistukia na kuweweseka,ila huyu jamaa Afande siku hizi kama akili zimemrudia maana jana nilimsikiliza kwenye clip moja ilitumwa humu aisee jamaa anaongea kitu ukakielewa vizuri sana.