Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,310
Rapa kutoka Mexico, Dan Sur @dansurig amefanyiwa upasuaji na kuondolewa nywele zake kichwani na kuwekewe cheni za dhahabu. Dan Sur anasema alitaka kufanya kitu tofauti, kuwa binadamu wa kwanza kuwa na cheni za dhahabu kichwani badala ya nywele, "Hizi cheni zimewekwa ndani ya ngozi yangu, mimi ni rapa wa kwanza kuwa na cheni za gold kama nywele'.
-
Daktari wa upasuaji Dr. Frank Agullo ameongea na YahooLife nakusema 'Upasuaji huo ni hatari na sio salama kabisa kwa binadamo yoyote kufanya, unaruhusu bacteria kuingia ktk ubongo na uzito wa hizo cheni sio salama kwa mwili wake'.
CC Sammisago