Kuna ndugu yangu anapokea kama milion 7 hivi wiki hii, sasa kaomba ushauri afanyie biashara gani nzuri, ila yeye anasema kaona fursa mkoa wa Shinyanga maeneo ya Kahama, anataka kufungua duka la nguo.
Je, kwa wenyeji wa huko Kahama mnaopajua kwa hiyo biashara anayotaka kufanya itafaa au, kama kuna wazo lingine la kibiashara mnaweza mkamshauri. Ni dada yangu.