Afanye nini huyu

Afanye nini huyu

mwaziri

Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
58
Reaction score
17
Habari wana jf kuna huyu ndugu yangu ameingia form six mwaka huu bahati mbaya alikosa masomo kwa mda kadhaa kutokana na fedha na yupo private school japo alifaulu je ataweza vp kurudia tena form five kwa goverment school mwaka huu msaada
 
Mkuu govermnt school! Mbna fedha ni kdgo sanaa, bt all in all n ngumu sana aiseee kama mlikuwa hamjatoa taarifa shulen ya kuhairisha mwaka
 
Back
Top Bottom