M mwaziri Member Joined Dec 15, 2012 Posts 58 Reaction score 17 Jul 28, 2013 #1 Habari wana jf kuna huyu ndugu yangu ameingia form six mwaka huu bahati mbaya alikosa masomo kwa mda kadhaa kutokana na fedha na yupo private school japo alifaulu je ataweza vp kurudia tena form five kwa goverment school mwaka huu msaada
Habari wana jf kuna huyu ndugu yangu ameingia form six mwaka huu bahati mbaya alikosa masomo kwa mda kadhaa kutokana na fedha na yupo private school japo alifaulu je ataweza vp kurudia tena form five kwa goverment school mwaka huu msaada
Darius JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 1,951 Reaction score 320 Jul 28, 2013 #2 Mkuu govermnt school! Mbna fedha ni kdgo sanaa, bt all in all n ngumu sana aiseee kama mlikuwa hamjatoa taarifa shulen ya kuhairisha mwaka
Mkuu govermnt school! Mbna fedha ni kdgo sanaa, bt all in all n ngumu sana aiseee kama mlikuwa hamjatoa taarifa shulen ya kuhairisha mwaka
M mwaziri Member Joined Dec 15, 2012 Posts 58 Reaction score 17 Jul 28, 2013 Thread starter #3 Kwa hiyo hataweza pata nafasi mwaka huu dah
xir jyerphy JF-Expert Member Joined Jul 12, 2013 Posts 994 Reaction score 184 Jul 28, 2013 #4 mwaziri said: Kwa hiyo hataweza pata nafasi mwaka huu dah Click to expand... Inawezekana bt andaa chchte kwa headmacta
mwaziri said: Kwa hiyo hataweza pata nafasi mwaka huu dah Click to expand... Inawezekana bt andaa chchte kwa headmacta