netti mimi
Senior Member
- Oct 10, 2016
- 147
- 109
Awasaliane na Dean of students Wa chuo atapewa mwongozoHabari Wana JF,
Nina rafiki yangu amemaliza chuo kikuu mwaka juzi sasa mwezi uliopita kwa bahati mbaya mvua ikinyesha akiwa yupo miangaikoni begi analowekea nguo na vitu vya muhimu akakuta limeloa ivyo ikapelekea cheti chake cha chuo kuloa na kuharibika na vilevile kusababisha bahadhi ya masomo kutokuonekana yaan yamefutika. Swali: Je, afanye nini kupata kipya ni chachuo tu vingine aliwekea lamination. Chuo ni SAUT Mwanza.
Asanteni sana
Dah!, inasikitisha huyu ni graduate ameshindwa ku solve hili swala.Habari Wana JF,
Nina rafiki yangu amemaliza chuo kikuu mwaka juzi sasa mwezi uliopita kwa bahati mbaya mvua ikinyesha akiwa yupo miangaikoni begi analowekea nguo na vitu vya muhimu akakuta limeloa ivyo ikapelekea cheti chake cha chuo kuloa na kuharibika na vilevile kusababisha bahadhi ya masomo kutokuonekana yaan yamefutika. Swali: Je, afanye nini kupata kipya ni chachuo tu vingine aliwekea lamination. Chuo ni SAUT Mwanza.
Asanteni sana
Wewe ni mkamilifu kwa mambo yote Chief? Au ni vile nyani haoni KunduleDah!, inasikitisha huyu ni graduate ameshindwa ku solve hili swala.
Je, ni elimu yetu tatizo au wahitimu wetu ni wavivu kufikiri?
Great thinkerDah!, inasikitisha huyu ni graduate ameshindwa ku solve hili swala.
Je, ni elimu yetu tatizo au wahitimu wetu ni wavivu kufikiri?
Kwa akili tu ya kawaida anapaswa kwenda chuo husika kuwaambia, na atapewa utaratibu.Wewe ni mkamilifu kwa mambo yote Chief? Au ni vile nyani haoni Kundule
Yaani graduate wa chuo kikuu aulize hili swali na wewe unaona ni sawa kweli?.Wewe ni mkamilifu kwa mambo yote Chief? Au ni vile nyani haoni Kundule
Inasikitisha sana.Great thinker
Umejitahidi kumdhalilisha au kujidhalilisha. Mpaka amemaliza chuo kikuu hana akili ya kujua cheti chake kikiharibika anafanyaje?
Au ni kile chuo cha mtaani,aliyempatia siku hizi hajulikani alikoenda!!!!