Najaribu kuwaza nje ya box.
Alikuwa anaiba azipeleke wapi๐๐
ScrepaNajaribu kuwaza nje ya box.
Alikuwa anaiba azipeleke wapi๐๐
Kuuza skrepaNajaribu kuwaza nje ya box.
Alikuwa anaiba azipeleke wapi๐๐
Kuuza kwenye chuma chakavuNajaribu kuwaza nje ya box.
Alikuwa anaiba azipeleke wapi[emoji1][emoji1]
Serious?R.I.P classmate
Laana ya Biteko#HABARI Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Adamu Assan (30) mkazi wa Mafichoni Kiteto amepoteza maisha kwa kupigwa na shoti ya umeme akidaiwa kuwa alikuwa anaiba nyaya za umeme.
Marehemu amekutwa chini ya nguzo za umeme zilizobeba transfoma leo April 06. 2024 eneo la Mnadani Partimbo huku akiwa anaonekana kuunguzwa sehemu ya tumboni na umeme
Kwa mujibu wa Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Manyara Lucas Mwakatundu ameeleza kuwa kabla ya kifo hicho kulikuwa na jaribio la kukata nyaya za umeme na kwamba chanzo cha kifo hicho ni kupigwa shoti ya umeme
#EastAfricaTV.View attachment 2955678
Vijana wa ccm hao.#HABARI Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Adamu Assan (30) mkazi wa Mafichoni Kiteto amepoteza maisha kwa kupigwa na shoti ya umeme akidaiwa kuwa alikuwa anaiba nyaya za umeme.
Marehemu amekutwa chini ya nguzo za umeme zilizobeba transfoma leo April 06. 2024 eneo la Mnadani Partimbo huku akiwa anaonekana kuunguzwa sehemu ya tumboni na umeme
Kwa mujibu wa Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Manyara Lucas Mwakatundu ameeleza kuwa kabla ya kifo hicho kulikuwa na jaribio la kukata nyaya za umeme na kwamba chanzo cha kifo hicho ni kupigwa shoti ya umeme
#EastAfricaTV.View attachment 2955678
Daaaah Lucas Mwashambwa unaitwa huku ๐๐๐๐Vijana wa ccm hao.
Wasipokuwa Chawa wanakuwa Wezi