For sure๐ฅ.Hizi zote baraka.
Kuna wengine wanakesha nyumba za ibada wakiomba waonje morning sickness na majukumu yanayo fuatia ๐
๐, babe usije ukaniua kwa love bite, naogopa ujue.Love bite hiyo papi ๐
Ndiyo. Kanisani kwangu huwa nawaambia watu wanaopenda a huwa hawang'atani, hivyo nikiona haka ka-love bite kunoko shingo ya muumini basi namtoa kanisani na hata kumsimamisha kushiriki Misa.Lakini,ukitafsiri neno "LOVE-BITE" kwa kiswahili cha hapa na pale ni "kung'ata kwa upendo/huba"!Au siyo?
Usiogope mimi ni wako mpaka kuzimu๐๐, babe usije ukaniua kwa love bite, naogopa ujue.
Ila hamkomi ๐ญDah! Matukio ya wanaume kufariki wakati wa kimasihara yameshamiri sana hivi karibuni.
Yeah, Niko tayari kuendelea kuwa nawe hata kwenye moto wa jehanamu ๐Usiogope mimi ni wako mpaka kuzimu๐
Haaaa haaa haaaa haaa! Daaah! So funnyKuna demu niliwahi kujaribu kumnyonya shingoni... Aiseee
Shingo ilikuwa chachu kama terminal za betrii