DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
Imenibidi nisubiri tuzike kwanza ili machungu yaishe, Kisha nilete Uzi hapa.
Ni ndugu yangu, ki ukoo yeye ni dada yangu, lakini upande wa mama huko. Mimi niliambiwa tu huyu ni dada yako na sikutaka kujua zaidi maana ishu za ukoo zinanichanganya sana.
Tumeonana December mwishoni tulipoenda kusalimia nyumbani Tukuyu.
Haijapita hata wiki toka tumeondoka kijijini tunapigiwa simu yule dogo amefariki dunia huku chanzo ikidaiwa ni kujaribu kutoa ujauzito Kwa dawa za mitishamba zilizompelekea kutoka damu nyingi mpaka mauti yalipomkuta.
Inaelezwa kwamba alikua alihofia kufukuzwa shule alikua anaingia kidato Cha tatu januari hii.
Pia alihofia ukali wa wazazi wake kwani wangeweza mfukuza nyumbani😓
So sad, miaka 17 tumeshampoteza