Afariki dunia baada ya kupiga nyeto mara 62 siku ya varentin day (siku ya wapendanao)

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wakuu wa jukwaa

Kama kichwa cha habar kinavyosomoka hapo juu

Lagos nigeria. Kijana mmoja khamis mohamed amefariki dunia siku ya wapendanao baada kufanya mapenz kwa njia ya mkono au kujichua yaan kupiga pul had mara 62

Kijana huyo ambaye alikuwa akiishi nyumban kwa mama yake amefariki akiwa na miaka 27

Uchunguz wa madkat umesema kijana huyo alijichua kwa zaid ya mara 60 hivyo kukosa nguvu na kufa hapo kwa hapo

LAGOS BLOGGER

LONDON BOY
 

Source?
 
Hiyo mara 62 amefikishaje kwa siku mmoja?

Kitu ambacho hakiwezekani na so rahisi...



Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…