Afariki kwa kudaiwa kupigwa na kuingizwa miti sehemu ya haja kubwa na Askari wa Jeshi la akiba

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Mkazi wa Kijiji cha Mwihitiri wilayani Ikungi mkoani Singida, Frank Joseph (28) amefariki dunia baada ya kudaiwa kupigwa pamoja na kuingizwa miti sehemu ya haja kubwa na askari wa jeshi la akiba katika ofisi ya Mtendaji wa kijiji hicho ambako alikuwa ameshikiliwa na mtendaji wa kijiji hicho kwa tuhuma za kupigana na mwenzake.

Wakizungumza baadhi ya ndugu na wananchi kwenye mazishi ya kijana huyo wamedai kuwa nguvu kubwa ilitumika wakati wakienda kumkamata Frank ambaye sasa ni marehemu baada ya kugombana na mwenzake.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Mkuu wa wilaya ya Ikungi Thomas Apson, amekiri kutokea kwa tukio hilo huku watu watatu wakishikiliwa na Jeshi la Polisi, akiwemo mtendaji wa kijiji hicho Joakimu Mariko Chaba, pamoja na askari wawili wa jeshi la akiba.
1727959997102.png
 
Nchi inazidi kuchangamka Tlaatlaah mtu kaingizwa jiti huko mara nyingi nakuambiaga yajayo yanafurahisha

Ova
 
Niliona jana kwenye itv ilinishangaza sana.binadamu wamekuwa wakatili yote haya ni ccm kushndwa kuongoza nchi.CCM 4 ANYMEANS MUST GO OUT
 
Mkazi wa Kijiji cha Mwihitiri wilayani Ikungi mkoani Singida, Frank Joseph (28) amefariki dunia baada ya kudaiwa kupigwa pamoja na kuingizwa miti sehemu ya haja kubwa na askari wa jeshi la akiba katika ofisi ya Mtendaji wa kijiji hicho ambako alikuwa ameshikiliwa na mtendaji wa kijiji hicho kwa tuhuma za kupigana na mwenzake.

Wakizungumza baadhi ya ndugu na wananchi kwenye mazishi ya kijana huyo wamedai kuwa nguvu kubwa ilitumika wakati wakienda kumkamata Frank ambaye sasa ni marehemu baada ya kugombana na mwenzake.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Mkuu wa wilaya ya Ikungi Thomas Apson, amekiri kutokea kwa tukio hilo huku watu watatu wakishikiliwa na Jeshi la Polisi, akiwemo mtendaji wa kijiji hicho Joakimu Mariko Chaba, pamoja na askari wawili wa jeshi la akiba.
Kwakweli nimeiona hii taarifa nimeumia sana tena sana, ukijaribu kuvaa viatu vya ndugu wa aliyefanyiwa hivi angekuwa hata kaka yako, mzazi wako au mtoto wako ni huzuni sana, ndomana mauaji ya visasi hayawezi isha kwa matukio kama haya
 
jeshi la akiba ndionini , na mnataka kuficha nini hapa ama mnaogopa mambo ya mwananchi digital
 
Eti askali wa jeshi la akiba, hivi Mgambo ni askari?
 
Mama kipenzi cha watanzania tizama askari wako uliowaamini jinsi wanavyowafanyia watanzania wenzetu.Alaaniwe huyu askari pamoja na uzao wake wote
 
Mkazi wa Kijiji cha Mwihitiri wilayani Ikungi mkoani Singida, Frank Joseph (28) amefariki dunia baada ya kudaiwa kupigwa pamoja na kuingizwa miti sehemu ya haja kubwa na askari wa jeshi la akiba katika ofisi ya Mtendaji wa kijiji hicho ambako alikuwa ameshikiliwa na mtendaji wa kijiji hicho kwa tuhuma za kupigana na mwenzake.

Wakizungumza baadhi ya ndugu na wananchi kwenye mazishi ya kijana huyo wamedai kuwa nguvu kubwa ilitumika wakati wakienda kumkamata Frank ambaye sasa ni marehemu baada ya kugombana na mwenzake.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Mkuu wa wilaya ya Ikungi Thomas Apson, amekiri kutokea kwa tukio hilo huku watu watatu wakishikiliwa na Jeshi la Polisi, akiwemo mtendaji wa kijiji hicho Joakimu Mariko Chaba, pamoja na askari wawili wa jeshi la akiba.
Mkazi wa Kijiji cha Mwihitiri wilayani Ikungi mkoani Singida, Frank Joseph (28) amefariki dunia baada ya kudaiwa kupigwa pamoja na kuingizwa miti sehemu ya haja kubwa na askari wa jeshi la akiba katika ofisi ya Mtendaji wa kijiji hicho ambako alikuwa ameshikiliwa na mtendaji wa kijiji hicho kwa tuhuma za kupigana na mwenzake.🥺🥺🥺🥺
 
Kuna majitu yana furahia hii hali ,bila kujua ni hatari ambayo itamkumba kila mtu
 
Ati jeshi la akiba
wangesema tu ni wale adui no1 ya wamachinga na mama ntilie.
Kwanza hata mishahara hawana.
 
Hivi askari wa Jeshi la akiba ndo hawa polis jamii alioanzisha mwenda zake ? Ama sielewi
 
Back
Top Bottom