Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
Hapana,hiyo sio aina ya TB. AFB ni kipimo kinachotumika kupima makohozi ya mtu anaedhaniwa kuwa na vimelea vya TB.Msaada Madaktari , nimeona kadi imeandikwa hivi Aina ya Kifua Kikuu
AFB + , AFB - , EPTB halafu kwenye AFB - ndio pawekwa tiki hii inamaanisha hapo ndio aina ya Kifua kikuu anachoumwa.
Naomba kufahamu kiundani hizo aina.
Asante sana mkuu.AFB ( ACID fast bacteria) maranying huripotiwa no AFB seen au AFB - iki maanisha huyo MTU hana maambukizi ya kifua kikuu kwenye kifua sample inayo chukuliwa ni makohozi ya asbuh kabla ya kula chochote.
NOTE: makohozi kuwa negative( AFB) hai maanishi kuwa hauna TB 100% kwasababu kuna false negative mahabara MTU asipo kuwa makini ivyo kuna kipimo kingne kina itwa gene Expert ni kizur kwa uthibitisho.
Lakn pia TB inaweza tokea kwenye mifupa, uti wa mgongo, na hata kwenye moyo na sample huwa ni tofauti na makohozi.
Ziehl Neelsen stain technique (z stain techniques) or Gene xpert ndo vipimo vya kutambuwaa wadudu wa TB wenye maumbo ya AFB.Hapana,hiyo sio aina ya TB. AFB ni kipimo kinachotumika kupima makohozi ya mtu anaedhaniwa kuwa na vimelea vya TB.
Hivyo basi, hiyo inaashiria kuwa Sample yake ya makohozi haijabainika kuwa na vimelea vya TB ndo mana AFB ni -ve, hapo vipimo vya ziada vinahitajika kama vile X-Ray etc.
Maelezo yametimia mkuu asante kwa elimuAFB ( ACID fast bacteria) maranying huripotiwa no AFB seen au AFB - iki maanisha huyo MTU hana maambukizi ya kifua kikuu kwenye kifua sample inayo chukuliwa ni makohozi ya asbuh kabla ya kula chochote.