Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Cahma letu hili BoscombeHawa nao wamepata mashabiki😅😅
Tukutane saa 2 mkuuLeo Liverpool anam'bonda mtu goli 4 kwa nunge
Ni saa 12 jioni usianze kuchanganikiwa mapemaTukutane saa 2 mkuu
Namaanisha muda game itakapokuwa imeishaNi saa 12 jioni usianze kuchanganikiwa mapema
Mimi shabiki wa FCSB pamoja na AFC BournemouthWw ni assanal bila shaka
Sawa, saa 2 na dakika 11 sasa. Mbona huonekani?Namaanisha muda game itakapokuwa imeisha
Tumecheza na team kubwa yenye uzoefu wa kutosha. Wanastahili ushindi. Tukutane msimu ujaoSawa, saa 2 na dakika 11 sasa. Mbona huonekani?