AFCON 2017: Stars mdomoni mwa Nigeria, Misri na Chad

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Timu ya soka ya Tanzania-Taifa Stars imepangwa kundi G na Nigeria,Misri na Chad katika kufuzu AFCON mwaka 2017 nchini Gabon.

Draw imefanyika leo jijini Cairo,Misri. Kila la kheri Taifa Stars

 
Hii wala tusipoteze muda, labda kujiandaa na fainali za 2019
 
Group A: Tunisia, Togo, Liberia, Djibouti
Group B: Democratic Republic of Congo, Angola, Central African Republic, Madagascar
Group C: Mali, Equatorial Guinea, Benin, South Sudan
Group D: Burkina Faso, Uganda, Botswana, Comoros
Group E: Zambia, Congo, Kenya, Guinea Bissau
Group F: Cape Verde, Morocco, Libya, Sao Tome
Group G: Nigeria, Egypt, Tanzania, Chad
Group H: Ghana, Mozambique, Rwanda, Mauritius
Group I: Ivory Coast, Sudan, Sierra Leone, Gabon


Kazi tutakuwa nayo lakini tutaweza tukidhamiria
 
Sera no 1 ni kwamba mechi za nyumbani kushinda ni LAZIMA
 
Kama kawaida tutakuwa wasindikizaji
 
Wanaopanga hizi draw hivi Tanzania tumewakosea nini? Hata kwenye Club, timu za Tanzania zikipita hatua hata mbili basi waarabu haoooo, dah kwa Tanzania niijuayo mimi sijui kama tutapita hapo!!!!!
 
Mungu wangu kundi gumu ila tukidhamiria tunapita,maandalizi yaanze rgasa
 
kupita hapo ni sawa na sisimiz kuua TEMBO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…