Tanzania imetolewa Afcon 2017 hatakabla ya kucheza! Nadhani hii ndiyo headline ya kubeba habari hii ...Group G: Nigeria, Egypt, Tanzania, Chad
Kazi tutakuwa nayo lakini tutaweza tukidhamiria
Balaaa
Tanzania imetolewa Afcon 2017 hatakabla ya kucheza! Nadhani hii ndiyo headline ya kubeba habari hii ...
Tutafungwa mechi zote isipokuwa mechi moja na chadi ndiyo tutatoa sale.
Mechi zinaanza lini wadau ?