ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hata sisi Tz huenda tukapitia mlango huo huo msiamini.Hope wataichakaza Congo walau waqualify kwenye best number 3 kila kundi.
Wamchakaze nani?Hao Congo wenyewe wameapa kuua huyo Zimbabwe wenu.Congo watakufa na mtu nakwambia.Musoni naona anatakiwa kuwork out about his umaliziaji. Jana kakosa magoali ya wazi jamani. Hasa lile kabaki yeye na goal. Aisee inasikitisha sana. Wanacheza soccer kabambe tatizo umaliziaji. Hope wataichakaza Congo walau waqualify kwenye best number 3 kila kundi.
Umesahau kuwa walikuwa group moja katika kutafuta kukwalifai? Zimbambwe walimfunga DRC na waliongoza kundi. Hapana chezea the warriors.Wamchakaze nani?Hao Congo wenyewe wameapa kuua huyo Zimbabwe wenu.Congo watakufa na mtu nakwambia.
Na hapo shida ndo ilipo,walishawahi kukutana.This time around punda aliyekaribu kufa (Congo) atarusha bonge la teke dhidi ya Zimbabwe.Na watakufa wote!Kuifunga mara 2 au zaidi timu mnayokaribiana nayo ubora huwa ni ngumu kweli kweli!Umesahau kuwa walikuwa group moja katika kutafuta kukwalifai? Zimbambwe walimfunga DRC na waliongoza kundi. Hapana chezea the warriors.
Congo wana ubora gani sasa ? Hawana lolote. Niliwaangalia walipocheza na Uganda,jina nimewaangalia kwa the warriors lazima wakae.Na hapo shida ndo ilipo,walishawahi kukutana.This time around punda aliyekaribu kufa (Congo) atarusha bonge la teke dhidi ya Zimbabwe.Na watakufa wote!Kuifunga mara 2 au zaidi timu mnayokaribiana nayo ubora huwa ni ngumu kweli kweli!
Hawana ubora kwa mechi moja siyo?Congo walifungwa na Uganda,OK.Hao wenye ubora Zimbabwe si nao wangeifunga Uganda?Ikawaje wakatoa draw?na bado pia walinusurika kufungwa vile vile.Congo wana ubora gani sasa ? Hawana lolote. Niliwaangalia walipocheza na Uganda,jina nimewaangalia kwa the warriors lazima wakae.
Mkuu Victoire unasemaje kuhusu rafiki zako kufa 4 - 0 mbele ya Congo?I said it.Congo wana ubora gani sasa ? Hawana lolote. Niliwaangalia walipocheza na Uganda,jina nimewaangalia kwa the warriors lazima wakae.
Waulize zimbabwe kilichowakuta,alafu utengue kauliMusoni naona anatakiwa kuwork out about his umaliziaji. Jana kakosa magoali ya wazi jamani. Hasa lile kabaki yeye na goal. Aisee inasikitisha sana. Wanacheza soccer kabambe tatizo umaliziaji. Hope wataichakaza Congo walau waqualify kwenye best number 3 kila kundi.
Kona 9 kwa Uganda lakini wapiMechi ya Uganda na Egypt inachekesha.
Tena sana
Yaani hata tukishinda against Algeria kupata best looser itakua ngumu.Hata sisi Tz huenda tukapitia mlango huo huo msiamini.
Wamenisikitisha jana. Kipper aliwacost.Waulize zimbabwe kilichowakuta,alafu utengue kauli
Unafkr wangefunga,ungetoa sababu za kiba?Wamenisikitisha jana. Kipper aliwacost.