AFCON, 2019: Msimamo wa Kundi alilopo Taifa Stars.

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Katika zile mechi za kuwania nafasi ya kufuzu AFCON, mwakani nchini Cameron.. Group L linaundwa na timu zifuatazo, Uganda, Cape Verde, Lesotho na Tanzania. Baada ya kila timu kucheza mechi 3, msimamo ndani ya hili kundi uko hivi..

1. Uganda. Timu hii inayoongozwa na 'mchezaji machachari' Okwi huku ulinzi wake ukiimalishwa na 'Beki Kisiki' Juuko Murshidi inaongoza kundi ikijikusanyia alama saba (7) baada ya kushinda mechi 2 na kudroo mechi 1.
2. Cape Verde. Timu hii inakamata nafasi ya pili ikiwa na alama zake nne (4) baada ya kushinda mechi 1, droo 1 na kufungwa mechi 1.
3. Lesotho. Inashika nafasi ya 3 ikiwa na alama mbili (2) baada ya kudraw mechi 2 na kufungwa 1.
4. Tanzania. Timu hii inayoongwa na wachezaji machachari kama Benno, Yondani, Kessy, Gadiel na kiungo bora kwa sasa Feisal inashika mkia wa kundi hili a alama zake mbili (2) baada ya kudroo mechi 2 na kufungwa mechi 1.

NB: Timu mbili (2) katika kila kundi zinafuzu kwenda next stage.. na mpaka sasa kila timu imebakiza mechi tatu (3) tu!!
 
4. Tanzania. Timu hii inayoongwa na wachezaji machachari kama Benno, Yondani, Kessy, Gadiel na kiungo bora kwa sasa Feisal inashika mkia wa kundi hili a alama zake mbili (2) baada ya kudroo mechi 2 na kufungwa mechi 1.

Golikipa Machachari Benno akifungwa Magoli ya Kizembe na Cape verde πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜›


cc: sembo
 
Mwache tu Huyu jamaa hana ushabiki wa kipimbi. Aliyepigwa magori ya kizembe juzi ni Beno kweli? Kwa hiyo unaaminisha umma kuwa Taifa stars inaundwa na wachezaji wa Yanga tu? Kwa akili kama hizi wewe huna tofauti na zero brain a.k.a mbumbumbu usiyejielewa hata unachotuandikia hapa hukielewi, badala ya kuja na hoja fikirishi, wewe kila Mara unaleta mapumba yako ambayo wala hayatusaidii.
 
Hahaha.. Mkuu mbona umepaniki, Tatizo nini?? Kwani hao wachezaji niliowaweka hapo ni wa Cape Verde?? Kama kila siku naleta pumba JF.. kwanini wewe usilete hizo hoja fikirishi a.k.a mchele tuzijadili??
Mkuu kyata hii ni JF.. Sehemu ambayo kila member ana haki ya kuchangia au kuleta mada ili mradi isivunje sheria za nchi na JF.. Hivyo tusipangiane cha kuandika.

NB: Ni kweli "Huyu jamaa hana ushabiki wa kipimbi.".. Ushabiki wangu kwa Simba SC ni makini na hauna chembe chembe yoyote ya mashaka.
 
Nashukuru Mungu kunisaidia kutoshabikia Mbumbumbu
 
Mbona ktkt wachezaji unawataja wa yanga tu,?
Mkuu.. Kessy ni mchezaji wa Yanga?? Alafu ningeweka orodha ya wachezaji wote waliokua Cape Verde pasingetosha.. Ndiyo maana nikawataja baadhi tu.
 
Sawa mbona unasema kessy tu wengine? Wa timu ipi isitoshe huyo yondani hawa alikuwa mtazamaji tu mbona huwataji samatta msuva himidi na yule kipa tanzania one aliyeogelea tatu golini kwake

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Mkuu siku Taifa Stars wanacheza sikuangalia mechi yao, nilikua busy nikiwafuatilia Haruna na MK14 wakiiongoza Rwanda dhidi ya Guinea.
Nimewaweka hao wachezaji kwa kua ndo bora kwa sasa. Mfano Benno, baada ya ile performance nzuri dhidi ya Simba sidhani kama kuna kipa bora zaidi yake.. Niongee nini mbele ya Gadiel na Yondani.. Waliwadhibiti vizuri Okwi na MK14. Kuhusu Kessy, mwezi wa 8 alikua mchezaji bora wa ligi ya Zambia hivyo naamini alistahili kuanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…