AFCON, 2019: Msimamo wa Kundi alilopo Taifa Stars.

Tanzania tunamashabiki mbumbumbu, na mashabiki maandazi kama alietoa hii post. Nahisi una msongo mkubwa wa mawazo, pole sana.
 
Ni kweli Mkuu.. Nina msongo mkubwa wa mawazo.. Inakuaje Okwi afunge goli 2 alafu Samatta ashindwe kufunga hata moja.. Kipindi Clatous Chota Chama anakua man of the match Feisal anafanya nini uwanjani??? Msongo wa mawazo unazidi hapa Mkuu.
 
Sasa mbona hujamuongelea Manula. Ucheni ushabiki wa kitoto mnaboa sana
 
Siku Taifa Stars inacheza.. Nilikua namuangalia Haruna na MK14.. Kwani Manula alianza??
 
Ndo uache ushabiki maandazi
Hahaha.. Kama kuangalia ninachokipenda ni ushabiki maandazi.. Na niwe shabiki breakfast a.k.a shabiki maandazi + chai + machapati n.k
 
Back
Top Bottom