Nipemkono tushindane
Member
- Dec 23, 2021
- 56
- 228
Nimeangalia baadhi ya michezo ya afcon ikiwa ni pamoja na ule wa ufunguzi, wa Senegal na saiv naufatilia huu wa Morocco na Ghana.
Nachokiona ni soka bovu, nguvu ikitawala huku soka likichezwa taratibu sana Yan mtu mpaka unaboreka. Michuano mikubwa lakin hakuna mashabiki Yani kifupi hii michuano nasubir mpaka hatua ya nusu fainali ndo nirudi tena kuangalia.
Ni Bora uangalie hata mapinduz cup kuliko afcon