Nipemkono tushindane
Member
- Dec 23, 2021
- 56
- 228
Sie akili zetu zili dumaa kwenye simba na yanga hatuwazi kuwaza nje ya hapo, ndomaana mpira wetu haukuwiMpaka sasa siamini Comoro wametuzidi vipi, jamaa wanaupiga haswa!!
Haki ya nani wewe ni shabiki wa yanga.Sie akili zetu zili duma kwenye simba na yanga hatuwazi nje ya hapo.
Sie akili zetu zili duma kwenye simba na yanga hatuwazi nje ya hapo.
COVID-19🦠😷Yani ukiondoa mechi ya mwenyeji Cameroon mechi zingine zote hakuna watazamaji.
Viwanja vitupu mpaka unajiuliza Hili ni Bonanza.
Yani aibu naona mimi.
Inategemea na kundi walilokuwaMpaka sasa siamini Comoro wametuzidi vipi, jamaa wanaupiga haswa!!
Hili tushalisema sana hapaSiku wabongo wakiachana na usimba na uyanga na badala yake wakazipa sapoti azam n.k, soka letu litaendelea mno kamanda