AFCON 2023: Non-league duo Haji Mnoga and Ben Starkie hoping to make history with Tanzania

Hii ni aibu mpaka basi. Yaani nchi ina watu zaidi ya milioni 60! Halafu tunaokoteza wachezaji wasio na timu, wachezaji wanaocheza mchangani!!

Na lazima watashika tu mkia kwenye kundi lao.
 
Ukicheza ulaya tu unaitwa. Sijui hata kama wanafatilia izo timu wanazocheza uko
 
Back
Top Bottom