AFCON 2027 kwa Kenya, Uganda na Tanzani

Umkonto

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
2,652
Reaction score
4,593
Naomba kuuliza, jeTanzania, Kenya na Uganda zote hazitacheza mechi za kufuzu AFCON ya mwaka 2027?

Nauliza hivyo ili kupata uelewa tu wa mambo kwa sababu sikufuatilia kwa kina baada ya taarifa kutoka.
 
Kwa kiwanja walichocheza fainali za Afcon,hvi tumeshaanza maandalizi ya ujenzi wa viwanja,maana nimeona 2027 nchi za Africa mashariki ndio wata host mashindano...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…