AFCON 2027: Naona kama kuna aibu kubwa inakuja mbele yetu kwa "international community" miaka 2 ijayo

Simao Latino

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2025
Posts
477
Reaction score
608
Wakuu, mbona naona kama kuna aibu kubwa inakuja kuchafua taswira ya Tanzania katika mashindano ya AFCON 2027??

Mtiririko wa matukio ya hivi karibuni ya kimichezo hususan soka pamoja na kukosa seriousness kwa viongozi wa mchezo husika, kunanipa wasiwasi sana wakuu.
 
Hii ni jamiiforums the home of great thinkers, uwe unaandika habari kwa kirefu unataka tuanze kukuhoji na habari umeleta mwenyewe!.
unaona ulichokiona hujaandika so what are we going to discuss here..?
jinga sana
 
Huyo mhabeshi ndiyo kirusi mtu, nadhani pia ana back up ya kisiasa.
 
Hii ni jamiiforums the home of great thinkers, uwe unaandika habari kwa kirefu unataka tuanze kukuhoji na habari umeleta mwenyewe!.
unaona ulichokiona hujaandika so what are we going to discuss here..?
jinga sana
Jinga baba yako. Kum@ la mama yako wewe.

Go to my ignore list.
 
Tanzania michezo sio wito wetu, tusipoteze muda na raslimali kwenye mambo ambayo hatuyawezi. Tujikite kwenye vile vitu tuko vizuri kama umbea, unafiki, uzandiki, uchawa na wizi. Tupambane Dunia ianzishe hayo mashindano, tutazoa vikombe hadi Dunia ishangae.
 
Na kugegedana pia
 
Japokuwa mtoa mada ameandika haya kutokana na derby ya jana ila binafsi tangu ile CHAN kuahirishwa kufanyika nshaona kuna majanga mbeleni, walisema CHAN itarudi Agosti mwaka huu ila sioni hilo likifanyika pia AFCON 2027 sidhani kama itafanyika East Afrika.
 
Aibu ije Mara ngapi, michezo ilisogezwa mbele kwasababu ya maandalizi kutokamilikia
 
Wakuu, mbona naona kama kuna aibu kubwa inakuja kuchafua taswira ya Tanzania katika mashindano ya AFCON 2027??

Mtiririko wa matukio ya hivi karibuni ya kimichezo hususan soka pamoja na kukosa seriousness kwa viongozi wa mchezo husika, kunanipa wasiwasi sana wakuu.
Mkuu,

Hili ndiyo unaliona leo? Mbona mimi niliona tangu wanatangaza?
 
Back
Top Bottom