Fursa ya Tanzania kuwa mwenyeji wa mataifa Afrika Mwaka 2027 kushirikiana na Kenya na Uganda ni major economy breakthrough! Rais Samia ametoa wito tutatumia kila aina ya rasilimali kila Sekta kuhakikisha tunadeliver a world class tournament AFCON 2027.
Nitasema kwanini moja ya matatizo tuliyonayo ni ajira kwa vijana kupitia Michuano ya mataifa ya Afrika tutatengeneza ajira rasmi Milioni moja na ajira zisizo rasmi milioni 10! Nafasi ya kufanya Cohosting tournament ni cost effective na faida yake ni kubwa!
Wanauliza wapi na kwenye nini? Michuano ya mataifa ya Afrika inajumuisha mataifa 24 ya Afrika yatakayogawana mataifa nane kwa nchi tatu yaani kila nchi tutahost mataifa 8 kwa mwezi mmoja.
Ukipata hii background unagundua kuna uboreshaji wa miundombinu kwa ajili ya kujiandaa na michuano hii kwa Tanzania ni Dodoma, Arusha, Dar es salaam na Zanzibar (nazungumzia ujenzi wa viwanja, barabara, hotels na sports complex za mazoezi).