AFCON 2027 ni legacy ya Rais Samia kwenye michezo

mapessa

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
664
Reaction score
1,168
Fursa ya Tanzania kuwa mwenyeji wa mataifa Afrika Mwaka 2027 kushirikiana na Kenya na Uganda ni major economy breakthrough! Rais Samia ametoa wito tutatumia kila aina ya rasilimali kila Sekta kuhakikisha tunadeliver a world class tournament AFCON 2027.

Nitasema kwanini moja ya matatizo tuliyonayo ni ajira kwa vijana kupitia Michuano ya mataifa ya Afrika tutatengeneza ajira rasmi Milioni moja na ajira zisizo rasmi milioni 10! Nafasi ya kufanya Cohosting tournament ni cost effective na faida yake ni kubwa!

Wanauliza wapi na kwenye nini? Michuano ya mataifa ya Afrika inajumuisha mataifa 24 ya Afrika yatakayogawana mataifa nane kwa nchi tatu yaani kila nchi tutahost mataifa 8 kwa mwezi mmoja.

Ukipata hii background unagundua kuna uboreshaji wa miundombinu kwa ajili ya kujiandaa na michuano hii kwa Tanzania ni Dodoma, Arusha, Dar es salaam na Zanzibar (nazungumzia ujenzi wa viwanja, barabara, hotels na sports complex za mazoezi).
 
Hayo mashindano yanachezwa katika nchi 3 za Afrika ya Mashariki. Hiyo legacy ya Rais Samia inaingiaje hapa? CHAWA acheni kujipendekeza.
 
Mbona timu chache halafu mleta mada anasema yatatumia mwezi mzima? World Cup ina timu shiriki nyingi wanatumia mwezi iweje na huku watumie mwezi?
 
Ajira mil 11? Hapa unazungumzia wenye ajira na wasio na ajira au watu mil 11 wapya wasio na ajira watapata ajira?
 
Uliyetoa hii comment upate ajali ufe upelekwe mochwari umeme ukatike uoze unuke,wakikufata njiani gari lipate ajali wapone wote ufe wewe Tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…