Afcon 2027

Afcon 2027

Nafasi yao wamepewa Rwanda. Wakenya ni manyang'au wasiojitambua kwenye mambo ya msingi kama hayo.
 
Ila +254 ukiwaona wanavyotamba mitandaoni utaogopa, Kumbe bure kabisa.....
 
Viwanja vyao ni vya riadha za olympic ila vina pich ,viwanja vina viti vya zege
 
Back
Top Bottom