Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 602
- 969
Naomba kujuzwa jamani nina king'amuzi cha azam, je ni chanel gani wanaonyesha hii michuano!?
DuhBado AZAM wanaomboleza mkuu,ndo kwanza majeruhi wamepelekwa jana Mhimbili,tuliza mshono kiongozi
Wenye madishi Yale makubwa wanaona.Me nacheki hapa Kuna jamaa aliyaunganisha tulimuona Kama chizi Leo anatufaa.Kisimbuzi kipi
Njoo dstv mkuuNaomba kujuzwa jamani nina king'amuzi cha azam, je ni chanel gani wanaonyesha hii michuano!?
Azam Wameweza Kwenye Ukwaju Tshs 500/=Bado AZAM wanaomboleza mkuu,ndo kwanza majeruhi wamepelekwa jana Mhimbili,tuliza mshono kiongozi