onesti shirima
Member
- Oct 26, 2015
- 55
- 18
Ngapi ngapi!
Angola wanapiga mpira balaa!!Nadhani kikubwa tukaze kwa Angola na Uganda tupate matokeo basi njia itakuwa nyeupe sababu kwa Nigeria kina kilishakuwa kirefu pale.
Duuh! Hatari.Angola wanapiga mpira balaa!!
Ponapona yetu uwanja uitwe rasmi "KWA MCHINA"
Na Milioni 20 juu.Mtu ana miaka 17 unamuahidi kumpa gari. Unategemea kisaikolojia atakuwa mzima kweli uwanjani
Sent using Jamii Forums mobile app