Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Lengo la wachezaji wengi ilikuwa kupigwa picha za maonyesho ya urembo tu .Unataka kuturudisha kule kwa zamani kwamba ujanja ni kununua nguo za mitumba.
Baadhi ya timu zimetoka kwavile bahati haikuwa upande wao na sio kwamba wachezaji walicheza kwa kiwango cha chini.
Lengo la wachezaji wengi ilikuwa kupigwa picha za maonyesho ya urembo tu .
NotedMisri akichukua ubingwa nipigwe ban.
Hakuna atakayekupiga ban , sana tutakuhurumia tu .Misri akichukua ubingwa nipigwe ban.
Adhabu gani ndogo hivyo?Misri akichukua ubingwa nipigwe ban.
Ha! Ha! Ha!Adhabu gani ndogo hivyo?
Kuna mwaka KMKM ilipigwa 8-0 na APR kwenye Kagame cup , wakaishia kusema LAKINI CHENGA TWAWALA .Timu bora kwangu zilikuwa Bukinabe,RDC nilisikitika kutolewa lakimi ndiyo mpira...
Timu bora kwangu zilikuwa Bukinabe,RDC nilisikitika kutolewa lakimi ndiyo mpira...
Shikamoo mkuuMisri akichukua ubingwa nipigwe ban.
Mkuu naomba kujua jina la babu yako .Misri akichukua ubingwa nipigwe ban.
Wanaume kusuka nywele, kuzipaka rangi, kuvaa hereni ndio utamaduni halisi wa kale wa Afrika. Kwa kuwa akili yako imeshakuwa whitewashed leo ndio unaona kuwa sio ustaarabu..Moja ya vitu ambavyo wamefanikiwa wachezaji wengi wa kiafrica walioshiriki Afcon ni kuonyesha mitindo ya UREMBO , wengi walionekana walikwenda zaidi KUONYESHA MITINDO YA NYWELE NA KUPAKA RANGI , kiukweli soka kwao ilikuwa kipaumbele cha pili.
Na ndio maana wale ambao hawakwenda kuonyesha mitindo ( Egypt ) wamefanikiwa , hata kama kiwango chao hakikuwa kizuri , NAWATABIRIA KUTWAA UBINGWA.
Wito kwa wadogo zetu wa Serengeti Boys , huko muendako , Shedo , viduku , poda au kula Kungu hakutawasaidia chochote .
Soka siyo Urembo .
Mfano bukinabe walipaswa kuwa mabingwaUnataka kuturudisha kule kwa zamani kwamba ujanja ni kununua nguo za mitumba.
Baadhi ya timu zimetoka kwavile bahati haikuwa upande wao na sio kwamba wachezaji walicheza kwa kiwango cha chini.
Unadhani wameshinda kwa vile walikula kungu ?Wanaume kusuka nywele, kuzipaka rangi, kuvaa hereni ndio utamaduni halisi wa kale wa Afrika. Kwa kuwa akili yako imeshakuwa whitewashed leo ndio unaona kuwa sio ustaarabu..
By the way jamaa wameshinda so zilizobaki zote ni blah blah...