Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
kunguni wewetaifa stars vijana wazidi kutia aiiiibuuu barani!!
Uelewa wa Mtanzagiza unakuwa finyu sana.Mimi sielewi kbsa yani kuhusu haya makombe ya Africa, hili ni kombe gani kwanza yani nikama UEFA Europe au?
duh! kama huwa huangalii mpira haina haja kukuelezea chochote...we nenda kapige story tu...Mimi sielewi kbsa yani kuhusu haya makombe ya Africa, hili ni kombe gani kwanza yani nikama UEFA Europe au?
Mpira naangalia lakini sio wa Africa Ndio maana inanipa shida kuelewaduh! kama huwa huangalii mpira haina haja kukuelezea chochote...we nenda kapige story tu...
πππππHali halisi mazee...mwanariadha wa kenya vs wa tz![emoji1] vs [emoji90] View attachment 860609