fimboyaasali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 8,617 Reaction score 8,244 Jan 22, 2024 #1 afcon inataka kocha mwenye profile kubwa sio kocha wa namungo,mbinu hamna,watu wanakimbia kimbia tu uwanjani bila mpango wowote ule
afcon inataka kocha mwenye profile kubwa sio kocha wa namungo,mbinu hamna,watu wanakimbia kimbia tu uwanjani bila mpango wowote ule
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,168 Reaction score 39,118 Jan 22, 2024 #2 fimboyaasali said: afcon inataka kicha mwenye profile kubwa sio kocha wa namungo,mbinu hamna,watu wanakimbia kimbia tu uwanjani bila mpango wowote ule Click to expand... Ilimradi umeanzisha thread?
fimboyaasali said: afcon inataka kicha mwenye profile kubwa sio kocha wa namungo,mbinu hamna,watu wanakimbia kimbia tu uwanjani bila mpango wowote ule Click to expand... Ilimradi umeanzisha thread?
fimboyaasali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 8,617 Reaction score 8,244 Jan 22, 2024 Thread starter #3 Bila bila said: Ilimradi umeanzisha thread? Click to expand... maudhui yangu hukuona yana tija?
dr namugari JF-Expert Member Joined Nov 19, 2022 Posts 10,466 Reaction score 18,206 Jan 22, 2024 #4 fimboyaasali said: afcon inataka kocha mwenye profile kubwa sio kocha wa namungo,mbinu hamna,watu wanakimbia kimbia tu uwanjani bila mpango wowote ule Click to expand... Acha lawama Bora kocha mzawa kuliko yule mbuzi amroche
fimboyaasali said: afcon inataka kocha mwenye profile kubwa sio kocha wa namungo,mbinu hamna,watu wanakimbia kimbia tu uwanjani bila mpango wowote ule Click to expand... Acha lawama Bora kocha mzawa kuliko yule mbuzi amroche
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Jan 22, 2024 #5 Wabongo mna NONGWA boli limetembea jana, changamoto ni akili ya wachezaji wenu, mentality yao baada ya lile goli na kadi nyekundu ni kwamba wamemaliza mechi. Ile nguvu, upambanaji ukapungua.
Wabongo mna NONGWA boli limetembea jana, changamoto ni akili ya wachezaji wenu, mentality yao baada ya lile goli na kadi nyekundu ni kwamba wamemaliza mechi. Ile nguvu, upambanaji ukapungua.