AFCON: Tuipongeze na Uganda pia.

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Ukweli usiopingika timu ya Taifa ya Uganda jana ilikuwa kama inafanya mazowezi.
Inafaa tuwapongeze kwa kutuwezesha kupata ushindi.
Ukimpongeza mshindi usimsahau aliyepambana nae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata tulipotoa nao sare kwao walikuwa wanafanya mazoezi kwani walishafuzu?.
Roho mbaya na husda huwa hazina sababu wala mantiki. Ni chuki tu.UTAIFA kwanza.
AFCON here we come.
 
Write your reply...
ndio ni kweli,jamaa hawakutaka kuifanya mechi kuwa ngumu lakini kuna wabongo hawawezi kukuelewa,afrika mashariki oyeeee,cecafa oyeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…