AFCON U-17 Itumike kutangaza vivutio vya Utalii vya Tanzania

Team JPM

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2018
Posts
1,197
Reaction score
1,826
Watanzani huwa ni wavivu kutumia fursa kwaajili ya maendeleo ya Taifa. Hii inatokana na kifanya kazi kwa mazoea, kukosa ujuzi na usimamizi mbovu. Mwaka 2019 tumebahatika kuwa wenyeji wa Mashindano ya Soka kwa vijana AFCON U-17, Kwakuwa dunia nzima inawekeza sana kwenye soka LA vijana, Tanzania itapokea wageni wengi kutoka mabara yote. Hii ni fursa nzuri kuvitangaza vivutio vyetu vya utalii. Mbuga, mlima n.k. Wizara ianzishe one stop centre Kwenye viwanja vya Ndege vikuu yaani JKNIA na KIA. Lakini pia ijenge mabandayenye Taarifa za utalii Nje ya uwanja wa Taifa na Chamazi. TFF na Wizara ya michezo wachapishe T-shirt maslum au jezi kwaajili ya AFCON-2019 in Tanzania. Zenye kuitangaza nchi na vivutio vyake. T-shirt ziwe na mvuto na ziuzwe kwa b ei rafiki kwa wageni na wenyeji. Fursa Hii ni Adimu Tuitumie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…