Afcon U-17: Serengeti boys kukipiga dhidi ya Nigeria

Afcon U-17: Serengeti boys kukipiga dhidi ya Nigeria

Shadida Salum

Journalist at JamiiForums
Joined
Sep 11, 2020
Posts
69
Reaction score
105
20210304_130253.jpg

Timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys inatarajiwa kusafiri kuelekea nchini Morocco kwa ajili ya fainali za AFCON U-17

Serengeti Boys inayoiwakilisha Tanzania, katika mchezo wa kwanza itakipiga dhidi ya Nigeria siku ya tarehe 14 mwezi huu

Tanzania ipo Kundi B pamoja na timu za Nigeria, Congo na Algeria
 
Nimeona vijana wengi ni wa upande wa pili upande huu mwingine wa kutafuta kwa torch.
 
Hizi timu za vijana zinamfaa sana Kocha Bakari Shime aka mchawi mweusi,, sijui ni kwann anapewa ile ya wanawake!??
 
Back
Top Bottom