AFCON (u17)-2017 Gabon: Serengeti boys special thread

Leo imeonekana tofauti ya game ya kwanza toka nyuma tunaandaa vizuri lakini tatizo tukifika kwenye attacking zone bado tupo slow kama vile tupo penye zone ya maandalizi ya kushambulia kingine ndio ugonjwa wa taifa kama hesabu vile tunakosa sana magoli. Sio mbaya vijana wamejitahidi ni makosa yanayorekebishika hawana moshi wa kubwa vichwani wanafundishika.
 
Safi sana..inatia moyo.. Vijana wameonesha mabadiliko makubwa sana second half.. Hope game inayofuata watakaza zaidi ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…