Mkuu nimewaza hivyo...Hawa watoto wawekewe kinga ya kisheria ni MARUFUKU kuchezea vilabu vyetu vya majungu na fitina. Angalau hata first eleven yote itoke ikacheze ulaya kwenye umri huu.
Itakuwa poa sana maana wale wakubwa hata hawaelewekiMadogo ndo wawe taifa stars maana wale wakubwa wanazingua[emoji6]
Tulishawahi cheza na Ghana friendly match, tunaweza kuwamudu.View attachment 511198
Tutakaokutana nao
Wakenya mkowengi kweli kwenye uzi huu! Kwa taarifa yako Tanzania tunashida kombe hili kwa bao 2-0 siku ya Fainali.Unaota wewe hao Ghana ndo natabiri mabingwa wa mwaka huu
CoolGood
Viva viva
Simba na Yanga kama wanaitakia mema Tanzania na soka lake wasiwaguse kabisa vijana hawa. Nadhani wanajijua wasiwaguse kabisa.Hawa watoto wawekewe kinga ya kisheria ni MARUFUKU kuchezea vilabu vyetu vya majungu na fitina. Angalau hata first eleven yote itoke ikacheze ulaya kwenye umri huu.
Yeah we made it