Affordable Servant Quota Design Ya Vyumba 3. PICHA ZA SITE DOWN

Hharyson

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2016
Posts
2,146
Reaction score
632
Sio kila mtu huanza na nyumba kubwa β€” wengine hujenga ndoto kidogo kidogo. Hii servant quota design ni ndogo, affordable na imebeba kila kitu unahitaji:
  • Master bedroom (self-contained)
  • Chumba cha pili (self)
  • Chumba cha tatu kinatumia public toilet
  • Sebule ya kustarehe, dining, na jiko
Hii ni nyumba ya kuanzia, lakini ndani yake kuna hadithi ya juhudi zako. 🧱 Unaweza itumia kama boys' quarter, ya kupanga, au hata kwa familia ndogo. Na nzuri zaidi? Inajengeka FASTA kwa gharama ndogo!

πŸ‘‰ Start small. Dream big. Mkuzibuilders tunakupa design na ujenzi wa uhakika.
πŸ“ž +255 624 004 650
πŸ“ Sinza Palestina
🧱 β€œWe deliver your dream house”

 
Kwa uchumi wa WaTanzania walio wengi, Nyumba ya vyumba vitatu kuiita servant quarter, ni dharau zilizotukuka.
πŸ˜€KWA MTU MWENYE DREAM YA KUJENGA MANSION YA MIL 500 KWENYE ENEO LA SQM 2000 HYO NI NYUMBA MTOTO KABSA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…