Afghanistan: Marekani na Uingereza zatoa tahadhari ya shambulio la kigaidi uwanja wa ndege Kabul

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Mataifa kadhaa yasema kuna tishio kubwa la shambulio la kigaidi katika uwanja wa ndege wa Kabul na kuonya raia wao kuepuka eneo hilo.

Australia, Marekanj na Uingereza zimetoa tahadhari zikiwataka Raia ambao tayari wapo nje ya Uwanja huo wa Ndege kuondoka. Zaidi ya watu 82,000 tayari wamesafirishwa kutoka Kabul tangu iangukie mikononi mwa Taliban siku 10 zilizopita.

======

A number of nations say there is a high threat of a terrorist attack at Kabul airport and have warned their citizens not to travel there.

Australia, the US and UK have issued alerts to their citizens. Those already outside the airport are advised to leave the area immediately.

More than 82,000 have been airlifted from Kabul, which fell to the Taliban 10 days ago.
Countries are rushing to evacuate people by a 31 August deadline.

Thousands of people are still waiting inside and outside the airport, hoping to fly out of the country.

The Taliban have opposed extending the deadline but also promised to allow foreigners and Afghans to leave the country beyond 31 August, according to US Secretary of State Antony Blinken.

On Thursday, Australia's Minister for Foreign Affairs, Marise Payne, said: "There is an ongoing and very high threat of a terrorist attack".

It comes hours after the US State Department told those waiting at the Abbey Gate, East Gate or North Gate to "leave immediately".

The UK issued similar advice asking people there to "move away to a safe location and await further advice".

The Foreign Office said that the security situation in Afghanistan "remains volatile" adding that there was "an ongoing and high threat of a terrorist attack".

None of the countries gave any further information on the security threat.

Source: BBC
 
Nimetizama interview tofauti za kituo cha kurusha matangazo cha Aljazeera, Sky News, TRT, CTGN etc; viongozi wa Taliban wakihojiwa kuakisi mazingira halisi ya kiusalama halikadhalika mustakabali wao ni upi kwa nchi yao Afghanistan.

Nimetizama Interview za viongozi wao mbalimbali kama Abdul Qahar Balkhi, msemaji wa Taliban Suhail Shaheen, Balozi mstaafu wa Taliban Abdul Salam Zaeef na wengineo na hivi ndivyo Afghanistan ilivyo kwa muda huu: Wanawake wanaendelea na kazi zao kama kawaida wakiwemo waandishi wa habari, walimu n.k

Waliulizwa kuhusiana na raia wanaokimbilia uwanja wa ndege Kabul, wameyatolea maelezo ya namna mbili au tatu.

1) Kuna raia walishirikiana na majeshi ya US kupigana vita ndani ya ardhi yao lakini kwa munasaba wa Taliban majeshi hayo yalikuwa ni wavamizi wa nchi yao. Hivyo, wengi wao wanakimbia wakihisi Taliban watalipiza kisasi kwao. Tamko lilitoka kwao mapema tu kwamba hawatolipiza kisasi kwa yeyote.

2) Afghanistan asilimia (70%) ya nchi ni masikini hoehae. Marekani kufungua mlango kwa raia wa Afghanistan miongoni mwa raia wameona ni ahueni kwani ni mlango wa kuukimbia ufakiri unaliandama taifa lao! Kwao ni fursa ya dhahabu kuelekea penye unafuu nchi za magharibi.

Lakini mazingira haya(ya nukta za juu) jinsi yalivyowekwa na kuhubiriwa kwa Taliban kushika dola inatafsirika raia wanaukimbia mkono wa Taliban hali ya kuwa si mazingira halisi ya mambo yalivyo.

Wanachokifanya Taliban kwa sasa juma moja baada ya kuichukua Kabul ni kuunda serikali iliyo bora kwa nchi yao. Baraza la usalama wa Taliban Bw. Khalil Al Rahman Haqqan anazunguka kwa kuwatafuta viongozi wa serikali iliyopita ili wajumuike kwa pamoja kuunda serikali iliyobora kwa Afghanistan na wazungumza nao kwa amani.

Hashmat Ghani Ahmadzai ni kaka wa rais aliyeikimbia Afghanistan amezungumza kwa uwazi kuwa Taliban wapo "very friendly!" na kila leo anazungumza nao na wao ndiyo wanampigia simu. Kitu alichowasifu ni kuwa wapo vizuri kwenye kudumisha ulinzi. Akasema Changamoto waliyonayo Taliban kubwa ni uchumi wa nchi ni mbovu na raia wengi hawana elimu.

Hizi taarifa nyengine Marekani na Uingereza wanazitoa kwa manufaa wanayoyajua wenyewe.
 
Ingependeza kama wangeruhusu Aljazeera au chombo chochote huru waingie mabenki na sehemu zingine kama vyuoni na shuleni kuona kama wanawake wanaendelea na majukumu kweli na kusoma na wawahoji wananchi wa kawaida kama ambavyo tunaonyeshwa wanaokimbilia uwanjani.

Maana shirika la haki za binadamu limekuwa likipokea malalamiko mengi kutoka kwa wanawake wa Afghanistan juu ya ukiukwaji wa haki na hawa jamaa hawaaminiki maana hata miaka ya nyuma walikuwa wakiahidi hivi lakini baada ya muda hali hubadilika.
 
tutakuitaji tena endapo shambulio likitokea
 
Mkuu kuwaamini watu kama talibani inaitaji uwe na kichwa cha mwendawazimu
 
Ni kweli na ndio maana nimesema vyombo viwe huru ili tujionee kwa macho na sio matamko yao ya maofisini huku mapazia yameshushwa
 
Ingependeza kama wangeruhusu Aljazeera au chombo chochote huru waingie mabenki na sehemu zingine kama vyuoni na shuleni kuona kama wanawake wanaendelea na majukumu kweli na kusoma na wawahoji wananchi wa kawaida kama ambavyo tunaonyeshwa wanaokimbilia uwanjani.

Maana shirika la haki za binadamu limekuwa likipokea malalamiko mengi kutoka kwa wanawake wa Afghanistan juu ya ukiukwaji wa haki na hawa jamaa hawaaminiki maana hata miaka ya nyuma walikuwa wakiahidi hivi lakini baada ya muda hali hubadilika.
CTGN wanalionyesha hili tangu siku ya kwanza baada ya Kabul kuwa chini ya Taliban mpaka sasa.
 
Nimetizama interview tofauti za kituo cha kurusha matangazo cha Aljazeera, Sky News, TRT, CTGN etc; viongozi wa Taliban wakihojiwa kuakisi mazingira halisi ya kiusalama halikadhalika mustakabali wao ni upi kwa nchi yao Afghanistan.

Nimetizama Interview za viongozi wao mbalimbali kama Abdul Qahar Balkhi, msemaji wa Taliban Suhail Shaheen, Balozi mstaafu wa Taliban Abdul Salam Zaeef na wengineo na hivi ndivyo Afghanistan ilivyo kwa muda huu: Wanawake wanaendelea na kazi zao kama kawaida wakiwemo waandishi wa habari, walimu n.k

Waliulizwa kuhusiana na raia wanaokimbilia uwanja wa ndege Kabul, wameyatolea maelezo ya namna mbili au tatu.

1) Kuna raia walishirikiana na majeshi ya US kupigana vita ndani ya ardhi yao lakini kwa munasaba wa Taliban majeshi hayo yalikuwa ni wavamizi wa nchi yao. Hivyo, wengi wao wanakimbia wakihisi Taliban watalipiza kisasi kwao. Tamko lilitoka kwao mapema tu kwamba hawatolipiza kisasi kwa yeyote.

2) Afghanistan asilimia (70%) ya nchi ni masikini hoehae. Marekani kufungua mlango kwa raia wa Afghanistan miongoni mwa raia wameona ni ahueni kwani ni mlango wa kuukimbia ufakiri unaliandama taifa lao! Kwao ni fursa ya dhahabu kuelekea penye unafuu nchi za magharibi.

Lakini mazingira haya(ya nukta za juu) jinsi yalivyowekwa na kuhubiriwa kwa Taliban kushika dola inatafsirika raia wanaukimbia mkono wa Taliban hali ya kuwa si mazingira halisi ya mambo yalivyo.

Wanachokifanya Taliban kwa sasa juma moja baada ya kuichukua Kabul ni kuunda serikali iliyo bora kwa nchi yao. Baraza la usalama wa Taliban Bw. Khalil Al Rahman Haqqan anazunguka kwa kuwatafuta viongozi wa serikali iliyopita ili wajumuike kwa pamoja kuunda serikali iliyobora kwa Afghanistan na wazungumza nao kwa amani.

Hashmat Ghani Ahmadzai ni kaka wa rais aliyeikimbia Afghanistan amezungumza kwa uwazi kuwa Taliban wapo "very friendly!" na kila leo anazungumza nao na wao ndiyo wanampigia simu. Kitu alichowasifu ni kuwa wapo vizuri kwenye kudumisha ulinzi. Akasema Changamoto waliyonayo Taliban kubwa ni uchumi wa nchi ni mbovu na raia wengi hawana elimu.

Hizi taarifa nyengine Marekani na Uingereza wanazitoa kwa manufaa wanayoyajua wenyewe.
Hiyo ni PR tu mkuu, ulitegemea waseme ukweli sababu za watu kutotaka kutawaliwa na Talibans.

Talibans ni magaidi mzee. Talibans haikuundwa kuja kuikomboa Afaghanistan bali kuja kusimika utawala wa sharia chini ya pashtuns ndio maana chini ya utawala wao miaka ya 1990s na 2000 mwanzoni waliwaua sana Tajiks, Uzbeks na Hazaras ambao pia ni waislam utofauti tu ni kwamba Hazaras ni shia na hao wengine ni ethnicity tofauti na wao. Same Talibans wameua sana wanawake na kuwatesa kipindi cha utawala wao wa kwanza (ushahidi upo wa kutosha).

Waliposhika madaraka mara hii ya pili tayari wameanza kuua maofisa wa polisi wa serikali iliyopita.

Pamoja na sababu nyingine Taliban wamechangia asilimia kubwa Afaghanistan kuwa hapa ilipo leo. Wamerekani na EU walichokosea ni kutokuwa na nia ya dhati kuisimamisha Afaghanistani kwa kuachia wananchi wenyewe wachague serikali yao na sio kuunda serikali kwa niaba yao.

Taliban sio Hammas wala Hizbullah hiki ni kikundi cha washamba na magaidi ni suala la muda tu kabla hawajaonesha sura yao halisi.

Marekani na EU kuna mambo watakuwa wanawasingizia hilo halina ubishi lakini hiyo haiwasafishi kugeuka wastaarabu.
 
Explosion explosion 💥 explosion 💥 💥 💥 💥 💥 💥 💥 💥 💥 💥 💥 💥 outside Kabul Airport, number of casualties unclear..!! 🚩🚩🚩🚩⛔⛔⛔⛔⛔⛔⭕❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌🆘🆘🆘🆘🆘🆘🆘🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🐙🐙🐙🐙🐙🐙🐙

Talibans are killers
 
Nimetizama interview tofauti za kituo cha kurusha matangazo cha Aljazeera, Sky News, TRT, CTGN etc; viongozi wa Taliban wakihojiwa kuakisi mazingira halisi ya kiusalama halikadhalika mustakabali wao ni upi kwa nchi yao Afghanistan.

Nimetizama Interview za viongozi wao mbalimbali kama Abdul Qahar Balkhi, msemaji wa Taliban Suhail Shaheen, Balozi mstaafu wa Taliban Abdul Salam Zaeef na wengineo na hivi ndivyo Afghanistan ilivyo kwa muda huu: Wanawake wanaendelea na kazi zao kama kawaida wakiwemo waandishi wa habari, walimu n.k

Waliulizwa kuhusiana na raia wanaokimbilia uwanja wa ndege Kabul, wameyatolea maelezo ya namna mbili au tatu.

1) Kuna raia walishirikiana na majeshi ya US kupigana vita ndani ya ardhi yao lakini kwa munasaba wa Taliban majeshi hayo yalikuwa ni wavamizi wa nchi yao. Hivyo, wengi wao wanakimbia wakihisi Taliban watalipiza kisasi kwao. Tamko lilitoka kwao mapema tu kwamba hawatolipiza kisasi kwa yeyote.

2) Afghanistan asilimia (70%) ya nchi ni masikini hoehae. Marekani kufungua mlango kwa raia wa Afghanistan miongoni mwa raia wameona ni ahueni kwani ni mlango wa kuukimbia ufakiri unaliandama taifa lao! Kwao ni fursa ya dhahabu kuelekea penye unafuu nchi za magharibi.

Lakini mazingira haya(ya nukta za juu) jinsi yalivyowekwa na kuhubiriwa kwa Taliban kushika dola inatafsirika raia wanaukimbia mkono wa Taliban hali ya kuwa si mazingira halisi ya mambo yalivyo.

Wanachokifanya Taliban kwa sasa juma moja baada ya kuichukua Kabul ni kuunda serikali iliyo bora kwa nchi yao. Baraza la usalama wa Taliban Bw. Khalil Al Rahman Haqqan anazunguka kwa kuwatafuta viongozi wa serikali iliyopita ili wajumuike kwa pamoja kuunda serikali iliyobora kwa Afghanistan na wazungumza nao kwa amani.

Hashmat Ghani Ahmadzai ni kaka wa rais aliyeikimbia Afghanistan amezungumza kwa uwazi kuwa Taliban wapo "very friendly!" na kila leo anazungumza nao na wao ndiyo wanampigia simu. Kitu alichowasifu ni kuwa wapo vizuri kwenye kudumisha ulinzi. Akasema Changamoto waliyonayo Taliban kubwa ni uchumi wa nchi ni mbovu na raia wengi hawana elimu.

Hizi taarifa nyengine Marekani na Uingereza wanazitoa kwa manufaa wanayoyajua wenyewe.

inaitaji akili za mwendawazimu kuwaamini talibani hii kitu nimeiongea masaa manne yaliyopita,
 
Na kweli mlipuko umeripotiwa nje y uwanja wa Kabul
 
mkuu [mention]Hammaz [/mention] unakumbuka niliongea nini mda mchache uliopita jamaa zako unao watetea washalipua njoo tena uwatetee,
Mkuu umesikiliza vyombo vya habari lakini?

Waliyohusika na shambulio si Taliban, bali ni ISIS.

Hii ni excuse for more prolonged war. Ni another plan to beat the war drums again.

Kingine sitetei mtu.

Aristotle aliulizwa kuhusu Plato his own teacher, alijibu "Plato is dear to us, And truth is dear too. Nay, truth is dearer than Plato."

Hivyo, sina mafungamano na watu, nina mafungamano kwa kile kitakachothibitika kwangu ni ukweli. Wakishika hiyo njia nami nitakuwa mmoja wao kwenye hayo matembezi.
 
Marekani kwa kutafadhiri uchonganishi - yaani taliban atalijua jiji. Sasa ni zamu yake kushughulikiwa kwa kutumia vikundi vingine...... kama..ISIL na vingine. Yaani talibani ataisoma
 
Back
Top Bottom