Brother taratibu!inaitaji akili za mwendawazimu kuwaamini talibani hii kitu nimeiongea masaa manne yaliyopita,
Kwa anayefuatilia anajua wazi kuwa huu ni mchezo wa Marekani. Kwa wasiyojua wanaona hao ni kawaida yao kurusha lawama kwa Marekani. Hii dunia ni ya maajabu.Marekani kwa kutafadhiri uchonganishi - yaani taliban atalijua jiji. Sasa ni zamu yake kushughulikiwa kwa kutumia vikundi vingine...... kama..ISIL na vingine. Yaani talibani ataisoma
Marekani anaunda kundi jipya la kuadabisha "Talibs". Marekani ni hatari sana!!!!Kwa anayefuatilia anajua wazi kuwa huu ni mchezo wa Marekani. Kwa wasiyojua wanaona hao ni kawaida yao kurusha lawama kwa Marekani. Hii dunia ni ya maajabu.
Mlipuko uliotokea leo kwenye vyombo vyao vya habari wanadai mhusika ni ISIS.Marekani anaunda kundi jipya la kuadabisha "Talibs". Marekani ni hatari sana!!!!
Of course marekani afanyi direct? talibs lazima waadhibiwe kupitia wababe wenzao wanaoua kwa kujifunga mabomu kama ambavyo wao walikuwa wanafanya. Tena talibs inabidi wajiandae kupoteza viongozi na wao maana sasa wanaongoza serikali na inabidi waonje joto ya jiwe. Hela marekani kafungia sasa akili itawaingia kuongoza serikali bila pesa.....wamepewa kiazi cha moto wakile bila maji.Mlipuko uliotokea leo kwenye vyombo vyao vya habari wanadai mhusika ni ISIS.
Brother taratibu!
Waliyolipua si Taliban, ni ISIS. Fuatilia kwa makini vyombo vya habari.
Pentagon walitoa taarifa kwa majeshi yao waondoke haraka kwa sababu kwa mujibu wa Intelijensia yao walidaka hiyo taarifa na ndiyo wakaiweka wazi. Hayo ni majibu waliyojibu wao walivyohojiwa.
Mkuu umesikiliza vyombo vya habari lakini?
Waliyohusika na shambulio si Taliban, bali ni ISIS.
Hii ni excuse for more prolonged war. Ni another plan to beat the war drums again.
Kingine sitetei mtu.
Aristotle aliulizwa kuhusu Plato his own teacher, alijibu "Plato is dear to us, And truth is dear too. Nay, truth is dearer than Plato."
Hivyo, sina mafungamano na watu, nina mafungamano kwa kile kitakachothibitika kwangu ni ukweli. Wakishika hiyo njia nami nitakuwa mmoja wao kwenye hayo matembezi.
Hivi wanapataje hizi taarifa?Mataifa kadhaa yasema kuna tishio kubwa la shambulio la kigaidi katika uwanja wa ndege wa Kabul na kuonya raia wao kuepuka eneo hilo.
Australia, Marekanj na Uingereza zimetoa tahadhari zikiwataka Raia ambao tayari wapo nje ya Uwanja huo wa Ndege kuondoka. Zaidi ya watu 82,000 tayari wamesafirishwa kutoka Kabul tangu iangukie mikononi mwa Taliban siku 10 zilizopita.
======
A number of nations say there is a high threat of a terrorist attack at Kabul airport and have warned their citizens not to travel there.
Australia, the US and UK have issued alerts to their citizens. Those already outside the airport are advised to leave the area immediately.
More than 82,000 have been airlifted from Kabul, which fell to the Taliban 10 days ago.
Countries are rushing to evacuate people by a 31 August deadline.
Thousands of people are still waiting inside and outside the airport, hoping to fly out of the country.
The Taliban have opposed extending the deadline but also promised to allow foreigners and Afghans to leave the country beyond 31 August, according to US Secretary of State Antony Blinken.
On Thursday, Australia's Minister for Foreign Affairs, Marise Payne, said: "There is an ongoing and very high threat of a terrorist attack".
It comes hours after the US State Department told those waiting at the Abbey Gate, East Gate or North Gate to "leave immediately".
The UK issued similar advice asking people there to "move away to a safe location and await further advice".
The Foreign Office said that the security situation in Afghanistan "remains volatile" adding that there was "an ongoing and high threat of a terrorist attack".
None of the countries gave any further information on the security threat.
Source: BBC
Unafahamu tangu Taliban ilivyochukua nchi dhamana ya ulinzi yaani majukumu ya kulinda ndani na nje ya mipaka kwa muda huu ambao majeshi ya US yapo yapoje ukijumlisha watu waliyojaa uwanja wa Kabul?Zamana ya maisha ya wa afganistani ipo chini ya talibani wao ndio wenye jukumu la kulinda raia na malizao madhara yyte yanayowapata raia talibani ndiyo watakao beba lawama, kama wameweza kuiondoa serikali iliyokuwa madarakani basi wanaweza pia kujilinda zidi ya maadui wa ndani na nnje, kutawala nchi sio jambo dogo tutegemee vifo vingi vya watoto na wanawake wasio na hatia, kwa ajili ya uchu wa madaraka, inauma sana
Isis wamevamia Iraq na kuleta majanga.kuna mstari mwembamba sana unaotenganisha talibani na isis,
Isis wamevamia Iraq na kuleta majanga.
Isis wamevamia na kuleta mauaji makubwa Ufaransa.
Isis wamevamia na kuleta majanga makubwa Syria n.k
Taliban wamepigana hawajawahi kuvamia nchi yoyote nje ya mipaka yao zaidi wanapigana na wavamizi waliyovamia nchi yao ndani ya mipaka ya nchi yao. Hawa ni wapigania uhuru wa nchi yao, ISIS wanapigania nini?
Yeyote asiye fall katika line ya US watakupiga chapa ya mhuri wa gaidi ulimwenguni na ndicho kilichotokea kwa Taliban. Licha hivyo, Taliban ya sasa imebadilika si kama ya zamani. Kuna tofauti kubwa sana kati ya Isis na Taliban.
Unafahamu tangu Taliban ilivyochukua nchi dhamana ya ulinzi yaani majukumu ya kulinda ndani na nje ya mipaka kwa muda huu ambao majeshi ya US yapo yapoje ukijumlisha watu waliyojaa uwanja wa Kabul?
Tutarajie vifo vingi vya watoto na wanawake wasiyo na hatia kutoka kwa nani?
Bwana Mkubwa!Is na talibani wana malengo yanayofanana wote wanataka kujenga dola ya kiisilamu, izo tofauti nyingine ni tofauti ndogo ndogo,
shekhe ulinzi wa afganstani upo chini ya talibani tuache kutafuta wa kumtupia lawama, nguvu waliyoitumia kupindua nchi ndiyo nguvu hiyo hiyo itumike kulinda nchi,