Afghanistan: Shambulio baya lakumba msikiti wa Kunduz wakati wa ibada ya Ijumaa

Yaani kwenye hii ardhi ya dunia! kwa ujinga wakitoka jamii ya Waafrika wanafuatia jamii ya watu wanaopatikana Mashariki ya kati. Wanagombania kwenye ardhi zao,, wanaua ndugu zao kwa sababu za kijinga tu
 
Duuu kwenye Hilo movie la afghan Stering amekimbia adui amekua strering sababu adui mpya kajitokeza
Hapo inakua adui wa adui Yako ni rafiki Yako!
 
Maskini wameshachonganishwa wanamalizana wenyewe kwa wenyewe na mchonganishi yuko mbali anacheka kwa kejeli
 
Kama huko Tanzania hata kusikia tu hutusikii uliko?!!!

AMANI NA UTULIVU
AMANI NA UTULIVU
AMANI NA UTULIVU

UPENDO NA UMOJA
UPENDO NA UMOJA
UPENDO NA UMOJA

Hayo ni madogo kwako?!!!
Mauaji ya akina Ben Saanane, Azory Gwanda, maiti za maelfu kwenye viroba, utekaji na kupiga risasi mchana kweupe wakosoaji wa Serikali n.k hayo ndio yakujivunia huko CCM?
 
Milipuko inayotokea huko wanahusishwa waisilamu, hawajui kuwa yumkini njama za mabeberu kuwachafuwa taleban waonekane hawafai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…