Afghanstan wamebuni gari lao la kisasa kwa jina la Mada 9

Afghanstan wamebuni gari lao la kisasa kwa jina la Mada 9

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
huko afghanstan wameishangaza Dunia baada ya kutengeneza Gari yenye Mundo wa Ferrari. Gari hii imepewa Jina MADA 9.

Kaka masoud kipanya unakosea wapi?

images (2).jpeg
images (1).jpeg
 
Attachments

  • images (3).jpeg
    images (3).jpeg
    21.1 KB · Views: 12
Wameliundia gereji, na wamekopy magari ya watu. hata masudi amewazidi hapo ambaye alikopy suzuki carry.
 
wameliundia gereji, na wamekopy magari ya watu. hata masudi amewazidi hapo ambaye alikopy suzuki carry.
Siku nyengine usiwe unakurupuka kujibu.fatilia bugatti,F-35 JET,AIRBUS NA N.K kila kitu wanakusanya uwezi kubuni kila kitu
 
Hata kuzaa watu wameiga, kumbuka kuna mtu wa kwanza kuzaa, kwa hiyo watu wasitengeze sababu wataonekana wameiga.Sasa huo ni muundo kwa hiyo alienzisha gari la kwanza nae akatazie.MASOUD MNAZIDI KUMCHUKIA SIJUI KWA NINI.
 
masoud ajachukiwa labda ni wewe unavofikiri.Kuunda kitu ni kipawa kubwa ila kuendeleza ni kipaji sababu ujaunda wewe ila umeboresha.

mfano:
Programmer ndiye katengeneza lugha na kanuni za teknolojia ya lugha za kompyuta.

ila developer anaendeleza kwa kuzitia vionjo.

Ndio maana madeveloper ni wengi kuliko programmer
 
masoud ajachukiwa labda ni wewe unavofikiri.Kuunda kitu ni kipawa kubwa ila kuendeleza ni kipaji sababu ujaunda wewe ila umeboresha...
Wewe humchukii ila wabongo wanamchukia.Ndivyo walivyo licha ya upuuzi wake lakini kuna kupata hapa.
 
Back
Top Bottom