Mwenye dhambi amkimbii Munguu
Unamkimbilia Mungu anaesamehe dhambi zako ili ufanikiweeeeeeeee
Ufanikiwe ktkt mambo yotee ya mwili kama vile rohoo yakooo ifanikiwavyooooo
Dawa ya rohooon n Toba na rehemaaa
Na kuziacha dhambi. Atapata rehemaa
Mithali 28:13
Afichaye dhambi zake hatofanikiwa bali yeye aziungamaye na kuziachaa atafanikiwaaaa
Kuna ungamooooo
Na kuziachaa
Ukizirudiaaa sahauuu mafanikiooo