MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
Mimi ni mjasilia Mali Nina kiduka changu mitaa Fulani hivi Hapa bongo kinauza jumla na lejaleja miaka yote nimefanya sijawahi kukutana na kimbembe nilichokutana nacho
Hivi kalibuni eti afisa afya anakuja dukani nakudai vyeti vya afya kwa wauzaji wa dukani Hebu wenye kujua Juu ya mambo
Haya wanisaidie hili linausawa jamani au nataka kuonewa maana nimeachiwa barua ya wito nifanyeje wana jamii wenzangu?.